Nafasi za JKT zinatoka lini?

maria asali

Member
Mar 17, 2016
12
0
Naomba kujuzwa kwa anaofahamu nafasi za jkt mikoani zinatoka lini??

=========================================

Tulia mkuu bado sana hawa walioenda wamefungua kozi juzi tu watamaliza around June 2017 tegemea nafasi kutoka ni mwezi wa saba andaa pesa ya kuhonga isiyopungua laki saba
Mkuu laki saba parefu sana aisee but nimesikia tetesi kuwa watatoa nafasi mwezi wa 4 ila mchakato utachukua mwezi mmoja so watu wataingia makambini mwezi wa 5
 
Haaaa aisee laki saba parefu sana mkuu but nimesikia tetesi kuwa mwezi wa ta

Nakuambia ukweli mkuu ukiwa na laki saba keshi huwezi koswa chance ya Jakarta huo ndoo ukweli huamini wewe tumia njia halali utakuja kuniambia
 
Haaaa aisee laki saba parefu sana mkuu but nimesikia tetesi kuwa mwezi wa ta

Mkuu laki saba parefu sana aisee but nimesikia tetesi kuwa watatoa nafasi mwezi wa 4 ila mchakato utachukua mwezi mmoja so watu wataingia makambini mwezi wa 5
Umesikia kutoka wapi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…