Nafasi za jeshi

Nafasi za jeshi

FABIAN HERMAN

Member
Joined
Feb 17, 2015
Posts
11
Reaction score
1
Jamani wana jf ninaomba kuuliza nafasi za jeshi zinatoka lini?msaada wenu ni muhimu sana kwangu.
 
Ukipata majibu mkuu naomba uni pm nami nina ndugu yangu anasubiria post izoizo maana huwa hawazitangazi izo wanafanya kimyakimya
 
Back
Top Bottom