Shirika lisilo la Kiserikali la Zinduka DIF lenye makao yake makuu Bunda linahitaji wahitimu au wenye Diploma wa kufanya internship waliosoma Accounts.
Waombaji watagharamiwa chakula na malazi muda wote wa internship na watapewa posho ya kuendesha maisha!