DAD'S SON
JF-Expert Member
- Nov 18, 2015
- 392
- 466
Wasalaam,
Naomba nianze moja kwa moja maana ya epidemiology na epidemiologist
Epidemiology- the branch of medicine which deals with the incidence, distribution, and possible control of diseases and other factors relating to health(ni tawi na utabibu ambalo linahusika na usambaaji,uzuiaji wa magonjwa/maradhi na mambo mengine yahusuyo afya).
Epidemiologist-ni mtu naehusika na elimu ya epdemiolojia.
Kwanini nimetoa maana izo mbili hapo juu??!.
Hii ni kwa sababu mambo yanayoendelea sana sio ya kiprofessional kabisa kila mtu anasema lake juu ya kujirinda na corona kimsingi tuna wataalumu ambao wanahusika na mambo ya disease control(epidemiologist) kwanini wasipewe nafasi zao wafanye kazi??
Wanasiasa wanaingilia fani za watu kwanini wasitulie watu waingie kazini waje na mipango mkakati wa kuzuia na kutotomeza au kupunguza corona??!.
Weka hii kichwani"a doctor can not represent you in law suit,lawyer can't perform brain surgery". Kwa misemo hiyo basi wanasiasa waache siasa kwenye hili achie team za wataalamu wa afya wafanye kazi tena muwawezeshe,we need to set some limits(boundaries).
Faida ya kuwapa nafasi maepidemioligists
1.wataweza kutusaidia kupunguza maambukizi.
2.Mbinu sahihi za kufanya tujirinde
3.kuweza pata taarifa sahihi za maambukizi.
Asante kwa kusoma tarifa hii.