Nafasi ya Tutorial Assistant

Jaribu bahati yako. Ila naonaga wengi sana wanaomba wana first class.
 
Nilimkoti "mtu mwenye shahada atamfundishaje mwanafunzi wa shahada?" Ni siku aliyoongelea ishu ya kuvifunga baadhi ya vyuo...jaribu kuingia page ya mwananchi fb utaipata hii ishu
Tutorial ASSISTANT. Sio lecturer wala TUTOR
 
uliyopitia wewe sio lazima na wengine wapitie. nafkiri mhusika ameskia. abaki na nia yake ya kutafuta ualimu, kama atakua na wazo la kufanya zaidi afanye.
 
uliyopitia wewe sio lazima na wengine wapitie. nafkiri mhusika ameskia. abaki na nia yake ya kutafuta ualimu, kama atakua na wazo la kufanya zaidi afanye.
Hapo ni sawa,mimi nimempa disadvantage ya hizi kazi,wewe ummepa advantage ya hizi kazi,sasa achague yeye.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…