MS TCDC inakaribisha maombi ya kujiunga na shahada ya kwanza katika programu ya Governance and Development. Shahada hii ni ya miaka mitatu ambayo inatolewa chuoni MS TCDC- Usa River-Arusha.
Shahada hii inatolewa katika mazingira bora yakufundishia, walimu wenye uzoefu na mambo ya maendeleo nakutoka nchi mbali mbali.
Nafasi za ajira kwa wahitimu wa kozi hii ni kubwa katika asasi na taasisi zisizo za kiserikali na za serikali. Maombi yanaweza kufanyika kupitia tovuti ya chuowww.mstcdc.or.tz au chuoni
MS TCDC.