Habari za muda huu ndugu zangu poleni na majukumu. Samahani naomba kwa yeyote anayefahamu hoteli ya Arusha ambapo wanafundisha cookery anisaidie tafadhali au hata training ya kujitolea bila malipo.
Sihitaji chuo nataka hoteli moja kwa moja kwa ajili ya kupata practical training na kuwa katika uhalisia zaidi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sihitaji chuo nataka hoteli moja kwa moja kwa ajili ya kupata practical training na kuwa katika uhalisia zaidi.
Sent using Jamii Forums mobile app