Nafasi ya kujiajiri

miminho

Member
Joined
Feb 15, 2012
Posts
46
Reaction score
7
Habari wana jamii

Mim ni muhitim katk fani ya IT (2011) kwa level ya Degree, sijafanikiwa kuwapata kazi na nimeapply sana , hivyo nawakilisha ombi langu kwa wahitimu wenzangu ktk fani hii ambao bado hawajapata kazi tuwasiliane tujiari wenyewe .

Kwa atayetaka tuwasiliane infordesiger@gmail.com ili tuone namna tutakavyoimplement hii idea.

NB: Sema eneo gani upo vizuri ktk ICT.
Asante.
 
Mkuu kuna spot moja inaitwa Kinu..jaribu kutembelea hapo hautotoka bure wadau kibao wa IT, na vitu vingine..ipo morocco mbele kidogo ya airtel kama unaelekea best bite lakini haufiki best bite kwenyewe..!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…