Nafasi ya Kazi

Jul 29, 2018
96
237
Natafuta Mfanyakazi wa Ofisini (Secretary)hasa ambae ana uzoefu na masuala ya stationery pia awe amesoma masomo ya Computer aliye tayari anicheck kwa namba hii 0713 293479.Mshahara kuanzia laki mbili
 
Natafuta Mfanyakazi wa Ofisini (Secretary)hasa ambae ana uzoefu na masuala ya stationery pia awe amesoma masomo ya Computer aliye tayari anicheck kwa namba hii 0713 293479.
Unapatikana wap? Nna shemeji angu yupo kimara ndo kazi yake hyo na ana uzoefu mzur
 
Atupe mrejesho kama ameshapata maana mi nnaye huku ana sifa zote ulizotaja ni jinsia ya ke umri under 25
 
Anajitia mjuaji ...angeweka location ingependeza ...sasa MTU mfano nipo tandahimba ...ye yupo mwanza unadhani itasaidia?
Hata hasemi jinsia gani anataka, anaandika tangazo kama anagombania kuingia kwenye daladala hehehe, halafu tusiulize!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom