WENYELE
JF-Expert Member
- Apr 2, 2012
- 1,425
- 1,431
Nahitaji msichana wa kufanya kazi kwenye kiwanda kidogo cha chakula.Awe na sifa zifuatavyo.
1.Aliyemaliza kidato cha nne kati ya 2010 hadi 2015 na anajua kujieleza vizuri kwa kiswahili na kiingereza.
2.Mchapa kazi na mwenye kufuata sheria na kanuni za usafi.
3.Asiye na tabia ya nyodo na kujipendekeza kwa wasimamizi wake wa kazi kwa kutengeneza mazingira ya mahusiano yasiyo na maadili.
4.Msafi na nadhifu.
5.Awe anapatikana Moshi
Wakuu km una mdogo wako wa kike au ni mhusika ni pm tuwasiliane....nitafanya interview ya simu kwanza kabla sijakuruhusu kuja