Nafasi ya Kazi za Ndani 2

Angel Suzie

Member
Dec 27, 2015
68
15
Nafasi ya Kazi za Ndani 2: waschana miaka 18-23, tuma SMS kwenda 0762010200, andika Jina kamili, umri, unapoishi wapi, andika Kazi Usafi.
 
Nafasi ya Kazi za Ndani 2: waschana miaka 18-23, tuma SMS kwenda 0762010200, andika Jina kamili, umri, unapoishi wapi, andika Kazi Usafi.
Utapata....Ila ukishawapata jali utu...usiwanyanyase, maana binadamu sisi bwana...huwa tunawatafuta kwa shida Ila tukishawapata full kuwanyanyasa(baadhi) haipendezi , unashangaa kila cku sura mpya ktk nyumba hazikai hata miezi miwili zishatoroka mnabaki kuwapakazia ooh walikua wezi kumbe mnaficha maovu yenu. Hasa wanawake jaman mmekua na moroho mibaya kuliko chatu/mamba mwenye njaa....tubadilike
Sijasema ni wewe mtoa Uzi Ila km una tabia hizo pia waweza kujifunza.
 
Jana niliweka uzi natafuta receptionist wawili.
Mods wakaufuta uzi wangu.
Ila kuna waliowahi wakani pm..
Na sasa hivi kazi zikitoke bota nizipeleke kwenye magroup ya whatsapp.
Mods hawamuamini member ambaye amekaa hapa Jf tangia 2006(jambo forums)
Afu wangejua ofisi zangu zipo mikocheni karibu tu na ofisi zao.
Anyway ..
Samehe.

Pia fanya hivyo kwa kuwasaidia wengine kama hao waliokutafuta.

Kosa si kosa, kosa kurudia kosa, bila kuweka hilo tangazo hao waliokutafuta bado wangeendelea kuhangaika uraiani
 
Samehe.

Pia fanya hivyo kwa kuwasaidia wengine kama hao waliokutafuta.

Kosa si kosa, kosa kurudia kosa, bila kuweka hilo tangazo hao waliokutafuta bado wangeendelea kuhangaika uraiani
tayari walishapata
 
  • Thanks
Reactions: Luv

Similar Discussions

Back
Top Bottom