mahirtwahir
JF-Expert Member
- Jan 12, 2013
- 614
- 322
Habari zenu wana janvi natumai muwazima wa afya mungu akutangulieni kwa kila jambo.
Najitokeza kwa mara nyingine tena kutafuta nafasi ya kazi ya udereva nimejitahidi kutafuta ila mungu hajanijaalia.
Natafuta nafasi ya kazi ya udereva wa aina yoyote ili hata km daladala,gari za mizigo au kampuni yoyote leseni yang ina class A,B,D na C niko tayari hata kuajiriwa ndani ya nyumba kwa nafasi hio cha msingi ni maelewano.
Nitashukuru sana hata wale eatanisaidia ushauri wa kufikia mafanikio