Nafasi ya kazi ya saloon Morogoro

Aladeen04

JF-Expert Member
Sep 6, 2016
3,519
5,683
Habari..
Ninahitaji binti kwa ajili ya kazi ya saloon ya kike saloon ipo chuo kikuu mzumbe(Morogoro) sifa kuu awe na nidhamu na ajue kusuka mitindo mingi Mwenye uhitaji ani PM tafadhari kwa maelezo zaidi.
Ahsanteni.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom