Nafasi ya kazi ya Project Manager

Nafasi ya kazi ya Project Manager

spentforce

Member
Joined
Apr 24, 2019
Posts
5
Reaction score
3
Natafuta Project Manager kwa ajili ya project ya muda wa miezi sita. Awe na shahada ya Electrical au Mechanical Engineering, na minimum experience ya miaka 5 katika projects. Awe na uwezo wa kutumia Microsoft Projects. Mshahara ni negotiable. Kwa mawasiliano zaidi WhatsApp 0758491017.
 
Mkuu ni vizuri zaidi ungeelezea vizuri majukumu yake na aina za kazi/projects gani?coz Mechanical na Electrical ni pana sana.
Na location ya kazi ni wapi?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom