Nafasi ya Kazi ya kuoka mikate

Nafasi ya Kazi ya kuoka mikate

Akili Kichwani

JF-Expert Member
Joined
Jan 7, 2010
Posts
1,508
Reaction score
222
Habari wana JF,

Napenda kuwatangazia nafasi moja ya Kazi ya kuoka mikate kwa kutumia jiko (oven) la mkaa. Yoyote mwenye ndugu, jamaa au rafiki mwenye ujuzi huo Na aliye tayari awasiliane nami kwa namba 0629 04 47 34 haraka iwezekanavyo.

Hakuna usaili wowote. Unachotakiwa kujua Ni kuoka mikate tu Na ndicho pekee utakachojaribia kwa vitendo. Ukimudu, basi ajira Ni yako.

Mshahara mnono utatolewa pamoja Na marupurupu kama usafiri Na malazi kwa atakayekuwa Na uhitaji.

Kwa maelezo zaidi, tafadhari tuwasiliane kwa kutumia simu hiyo hapo juu.

TANZANIA YA VIWANDA INAWEZEKANI!!
 
Back
Top Bottom