Nafasi ya kazi UNDP

Nafasi ya kazi UNDP

huwa wanapenda sana kuchukua mtu ambaye alisha fanya kwenye DONOR funded project
Na waliosoma nje wanapewa Priority yaani ni Ujinga kwenye Mashirika ya kimataifa na Balozi mbalimbali
 
UNDP Tanzania is advertising the post, Monitoring and Evaluation Specialist- NO-C


UNDP Career Opportunities
Hi, kindly post your job on www.bludesk.net to expand your outreach. A lot of our users are qualified candidates.
Bludesk Home Screen.JPG
 
Mimi natafuta kaziya udereva nitafurai kama mtanisaidia ngari ainayeyoteile napatikana kwamawasilian 0785837710 na 0768170396
 
Acha Kufikiria kwa kutumia makalio Tanzania hii ya kukosa mtu mwenye Vigezo? Ninaweza kua nimekuzidi hata hivyo vigezo.
Sasa wewe nani akupe kazi baada ya kujibu hoja unatukana!!halafu unalalamika endelea kutukana kwa upeo wangu mdogo naishia hapa sina jibu lakukuibu wewe.
 
It is disheartening to see how we disregard ourselves as non qualifiers. Mtu anakimbilia kusema wanapendelea walisoma nje mara wenye donor funded projects. Kwa mitazamo hii wengi wanashindwa kujaribu hata kuingia kwenye mashindano , tunajivika dhana za kufikirika dhana za vijiweni. Siafiki kuwa wenye degree za nje ndio wanapewa vipaumbele , na mtu anaweza kufanya tafiti binafsi . Watanzania tuamke, tupambane , tujaribu, tuepuke maneno ya kukatishana tamaa. Tusiwe watu wa kulalamika tu .
Na hata kama mtu hufanikiwi mara ya kwanza , pengine ni wasaa wa kujitazama na kuangalia ni nini haswa hufanyi sawa sawa ili kuwa competetive. Ukiuliza mwanajeshi anayejifunza kushoot they can tell how many trials they make before making the correct shot. It takes patience, repeated efforts and reflection before we make there.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom