Nafasi ya kazi shift incharge, TANROADS

kimpango

JF-Expert Member
Apr 24, 2011
600
716
Kama mjuavyo hali ya ajira duniani kote na kwingineko ni tete.

Ndugu yangu ameitwa kwenye usaili wa nafasi ya shift incharge, ninaomba mumsaidie. Kwa ambaye ameitwa kufanya usaili kwa nafasi hiyo ya shift incharge (msimamizi wa mizani) TANROADS.

Ameomba wadau mliowahi kufanya usaili wa aina hiyo mumpe lecture kidogo yeye pamoja na wenzake either kwa lecture huru au kwa kum pm. Maana kazi inahitaji degree yoyote so anashindwa kujua ajiandae na sehemu gani ukizingatia ni kichwa but shule alishamaliza siku nyingi (2012) akahangaika kutafuta ajira akakosa na hii ni interview yake ya pili .

Shukrani na mbarikiwe sana.
 
Kaitwa kituo kipi kufanya hyo interview?
Je itafanyika lin hyo interview?
 
nahisi hii iatkuwa njombe ,na kwa bahati mbaya ilishapita so sina cha kumsaidia , ningeiona post yako mapema tungeshauriana mawili matatu ambayo yangeweza kumsaidia,
 
no bro ni kibaha bado haijapita
please
 
Maswali ya interview kwa Tanroads hutofautiana kati ya mkoa na mkoa lakini kikubwa ajue majukumu yake kama shift incharge,ajue changamoto za mizani,mfano system imezingua halafu magari yanasubiri kupima unafanyaje,pia ajue gari ikizidi maana yake nini,na computer pia hasa microsoft excell.
 
Kuwa makini wanapenda sana Number/hesabu wale watu Nilishangaa sana watu walilia sana pale Regional Manager's Office-Kilimanjaro! siunajua kule majitu ya PCM,PCM ndo wengi zaidi kuliko wafanyakazi wengine nahisi ukibahatika utaona mwenyewe hata wanavyoitana utaskia Engineer-Kimpango! sijui Engineer Sangali na mengine mengi!
 
Back
Top Bottom