Nafasi ya kazi saluni ya kike

Nafasi ya kazi saluni ya kike

makolola

JF-Expert Member
Joined
Sep 15, 2014
Posts
765
Reaction score
290
Nahitaji mtu(mwanamke au mwanaume) kufanya kazi saluni ya kike.

Awe anajua kusuka weaving, yeboyebo, kuset na kuretach.

Eneo la kazi ni Dar es Salaam, Ubungo External.

Wasialiana kwlutiona email:zansususolution@gmail.com

Namba: 0768942828
 
Back
Top Bottom