Nafasi ya kazi sales $ marketing | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nafasi ya kazi sales $ marketing

Discussion in 'Nafasi za Kazi na Tenda' started by Allein Hui, May 22, 2012.

 1. A

  Allein Hui New Member

  #1
  May 22, 2012
  Joined: May 3, 2012
  Messages: 1
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  NAFASI YA KAZI

  TUNAHITAJI WATU WAWILI KWA AJILI YA SALES NA MASOKO
  WENYE UZOEFU USIOPUNGUA MIAKA 3
  WENYE UTAYARI WA KUFANYA KAZI MKOA WOWOTE,
  WENYE ELIMU YA KUANZIA "DIPLOMA" AU "DEGREE" AU "MASTERS DEGREE" AMBAYO INAUHUSIANO NA KAZI HII.
  SIFA YA ZIADA
  WENYE UELEO MZURI WA VIFAA VINAVYOTUMIA UMEME.
  KAMA UKO "INTERESTED" TUMA BARUA YA MAOMBI, "CV" NA AMBATANISHA NA NAKALA ZA VYETI VYAKO
  KWA
  FINANCE AND ADMINISTRATION

  EMAIL ADDRES

  fieledanke@gmail.com

  MWISHO WA KUPOKEA BARUA ZA MAOMBI NI 31 MAY 2012
   
 2. S

  Samkyjr JF-Expert Member

  #2
  May 22, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 364
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Thank you. We gonna try
   
 3. Barraza

  Barraza JF-Expert Member

  #3
  May 22, 2012
  Joined: Oct 10, 2011
  Messages: 493
  Likes Received: 133
  Trophy Points: 60
  Tutajie basi hata jina la Kampuni?!!
   
 4. Bushbaby

  Bushbaby JF-Expert Member

  #4
  May 24, 2012
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 1,577
  Likes Received: 80
  Trophy Points: 145
  bila shaka huna shida ya kazi....
   
 5. Mwanajamii

  Mwanajamii JF-Expert Member

  #5
  May 26, 2012
  Joined: Mar 5, 2008
  Messages: 7,080
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 0
  Kweli mkuu huyu anajishughulisa sehemu invyoonekana kashiba.

  Hii company labda ya wa Germany,

  Fieledanke means Ahsante sana.
   
 6. Mkare_wenu

  Mkare_wenu JF-Expert Member

  #6
  May 26, 2012
  Joined: Mar 11, 2011
  Messages: 1,709
  Likes Received: 79
  Trophy Points: 145
  kama kweli
   
Loading...