Wataita tu mpaka mainjinia maana walimu Wa phy now ni adimu saana Kuna shule naifahamu mshahara ni million 1 ila Toka mwezi Wa kwanza mpaka Leo Bado hawajapata mwalimu Wa phy