Nafasi ya kazi Leuson credit limited

emmy 2nyi

Member
Aug 24, 2013
66
25
Kampuni ya mikopo ya LEUSON CREDIT LIMITED inatoa nafasi ya kazi ya AFISA MIKOPO kwa kijana mmoja wa kiume awe mwenyeji wa MLANDIZI au sehem yeyote ya karibu na hapo. kwa maelezo zaidi soma kiambatanisho hapo chini..
 

Attachments

  • TANGAZO LA KAZI.docx
    12.3 KB · Views: 168
Mnaliipa laki mbili nini dada yangu ndo maana hamtaki wa mkoa hatoweza ku afford gharama za kuishi kupitia mshahara.
 
Back
Top Bottom