end justify means
Senior Member
- Jan 16, 2014
- 128
- 23
Jobless bongo lazima utubu 😅Kupokea wageni kufanya usafi kufuatilia social media huyo huyo mtu mmoja ebhanaeeee 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🍺
HR ametisha aiseeeeeeee 😄Jobless bongo lazima utubu 😅
Hata mimi nimeshangaa hapa,,,yaani atoke kudeki chooni arudi kupost na kujibu comments mtandaoni huku akiwa na mapovu ya sabuni mikononi aende tena kufuta vioo vya milango na madirisha hapo bado mapazia na mashuka hajafuaKupokea wageni kufanya usafi kufuatilia social media huyo huyo mtu mmoja ebhanaeeee
Bado kufungua geti kupokea wageni 😄 ila kama jina lake linavyojieleza hapo end justify the meansHata mimi nimeshangaa hapa,,,yaani atoke kudeki chooni arudi kupost na kujibu comments mtandaoni huku akiwa na mapovu ya sabuni mikononi aende tena kufuta vioo vya milango na madirisha hapo bado mapazia na mashuka hajafua
anahitaji cv na vigezo vingi halafu mshahara haweki wazi et maelewano,,,ukute ni laki kwa mwezi.Ukishaona mshahara maelewano hakuna kazi hapo ni utumwa. Alafu task zote hizo mtu mmoja kuna watu wanafikiri na makalio
Plus Facilities Manager,how will he/she manage?1. Receptionist
2. House Keeper/Cleaner
3. Social Media Manager
Kazi za watu watatu tofauti tofauti unataka uajiri mtu mmoja!
Lack of understanding!!
Kumbe ni ke tuu!Natafuta Msimamiz wa apartment Iliyopo Arusha Sakina. Mwenye uwezo wa kufanya majukumu yafuatayo.
*Kupokea wageni na kuhakikisha wanapata huduma zote zinazo tolewa kwenye apartment yetu kwa muda sahihi.
*Kufanya usafi ndani na nje ya apartment kila siku kuhakikisha wageni wanakaa mazingira masafi na bora wakati wote.
*Awe na uwezo wa kusimamia social media accounts za apartment ikiwemo posting kazi na huduma tunazo toa kwenye apartments zetu kila siku.
*Awe na uwezo wa kuwasiliana na wageni kupitia platforms mbalimbali za kupokea wageni kama AIRBNB, BOOKING.COM na zinginezo.
*Awe na uwezo wa kuongea na kuandika kwa lugha ya kiswahili na kingereza.
* Kazi zingine zozote tutazoona zinafaa kwa maendeleo ya apartments zetu.
* Awe Kijana wa kike. Umri 23_25. Elimu angalau kidato Cha Nne. Awe Na Wadhamini Wawili. Muaminifu.
* Sehemu Ya Kulala kupo.
Mshaara Maelewano.
Aliye na nia ya dhati atume CV yake kupitia namba 0787450854.
Mwisho wa kupokea CV ni 10/10/2023.
Kipengele hiki utata, mtego huu.* Kazi zingine zozote tutazoona zinafaa kwa maendeleo ya apartments zetu.