Nafasi ya kazi haraka | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nafasi ya kazi haraka

Discussion in 'Nafasi za Kazi na Tenda' started by echuma, May 26, 2011.

 1. echuma

  echuma JF-Expert Member

  #1
  May 26, 2011
  Joined: May 20, 2010
  Messages: 326
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 35
  Wakuu anahitajika Graphic designer haraka kampuni iko mikocheni kwa mwalimu,atakuwa anakaa ofisini so asiwe anafanya kazi kwingine ,mshahara ni makubaliano,vigezo awe na uelewa mzuri wa program zinazohusiana na graphic cheti sio lazima sana ila interview kwenye komputa na uelewa wako,kuanza ni mara moja baada ya kuridhika na uwezo wako

  mawasiliano
  0713603699
   
 2. KIMICHIO

  KIMICHIO JF-Expert Member

  #2
  May 26, 2011
  Joined: Aug 12, 2010
  Messages: 1,184
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 135
  cheti sio lazima sana
  HAYA VILAZA CHANCE HIYO MSEME TENA BONGO AJIRA MPAKA CHETI SIJUI UBAGUZIII!!!!
   
 3. c

  cslab Member

  #3
  May 26, 2011
  Joined: May 20, 2009
  Messages: 33
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  ukiwa na vod*c*m kazi ni kwako!
   
 4. Kibanga Ampiga Mkoloni

  Kibanga Ampiga Mkoloni JF-Expert Member

  #4
  May 28, 2011
  Joined: Aug 9, 2007
  Messages: 14,583
  Likes Received: 1,675
  Trophy Points: 280
  mh!!!!

  Mimi nahitaji ila iwe kwa masaaa, siwezi kukaaa ofisini IDLE wakati natakiwa niwe napiga mzigo kuingiza mshiko,
  kama upo fine unipe mkataba wa masaa kwa siku at your office!
  PM me.
   
Loading...