LIZZYBETTY
Member
- Jul 23, 2015
- 48
- 8
Kama wewe ni mdada na unajiamini na una certificate ya secretari Gs power installation ltd inakukaribisha kesho tar 22.2.2017 saa mbili na nusu kwenye interview.Interview itafanyikaa katika ofisi za Gs power zilizopo Karikoo Mtaa wa livingstone karibu na benk ya NMB Kariakoo.Fika pamoja na vyeti na cv.
kwa mawasiliano zaidi
0677007002
0677007588
0677007590
www.gspower.co.tz
kwa mawasiliano zaidi
0677007002
0677007588
0677007590
www.gspower.co.tz