Mshahara jambo la kwanza ni siri ya mlengwa mkuu lakini pia unategemea na uzoefu, elimu na mambo mengine kwa hiyo kusema kweli hakuna mshahara fixed niliona nao kichwani ila inategemea tutaelewana vipi. Ninajua hatuwezi kushindwanaUnalipa shingapi mshahara
unaanza kuuliza mshahara kabla ya kujua utendaji wako?Unalipa shingapi mshahara
kama umeshindwa kuelewa vigezo, je kazi utaielewa?Mkuu nipo mimi mwanaume naitaji hiyo kazi
Mm nina vigezo vyote mkuu na nnakaa kata ya Kawe zone ya Africana Mbez beachWakuu poleni sana na mihangaiko ya hapa na pale.
Familia yangu inatafuta dereva mwenye leseni class D na kuendelea (E, C...) kwa ajili ya gari ndogo ya nyumbani ikijumuisha kupeleka watoto shuleni na kazi zingine zihusuzo kuendesha gari kwa mchana tu. Kutokana na mambo kadhaa wa kadhaa familia inapendelea dereva mwanamke anayejiamini, anaejua kazi yake na mwenye weledi barabarani.
Kama wewe ni mmoja wapo au unamfahamu mdada mwenye sifa hizo karibu sana pm kwa maelekezo mengine au tupia namba yako hapa nikutwangie
Shukrani za kipekee kwenu wote
Mbn tumetuma uzi hauujibu mkuu jibu kama ndio au hapana mkuu mtu anajuaKakwambia nani?