Nafasi ya kazi "CEO - DAWASCO"

Kashaija

JF-Expert Member
Aug 7, 2008
255
58
Nimesoma kwenye gazeti la Daily News toleo namba 65 la November 30, 2009 ambapo kuna tangazo la kazi, anatafutwa CEO wa DAWASCO, je Alex Kaaya ametemwa?

Maana siyo rahisi nafasi itangazwe wakati kuna mtu kwenye nafasi hiyo.

Mwenye taarifa rasmi tafadhali atuhabarishe na mwenye kuchangamkia nafasi hiyo aanze kuandaa CV yake maana dead line ni wiki tatu kuanzia tarehe ya jana.
 
Do you think so? Mbona bado kila ofisi hali ni mbaya tu? Na mbona EL anaonekana ana nguvu hata Ikulu bado ana maamuzi.Inawezekana lakini kazi bado ipo Tanzania


Tuhakikishie kama kweli bado ana nguvu na maauzi ikulu, kama ni ni kweli maana yake unatuambia nchi haina serikali kama nchi nchi haina serikali maana yake haina Rais?

Tuwe makini na michango yote hapa javini.
 
Tuhakikishie kama kweli bado ana nguvu na maauzi ikulu, kama ni ni kweli maana yake unatuambia nchi haina serikali kama nchi nchi haina serikali maana yake haina Rais?

Tuwe makini na michango yote hapa javini.

Simpo,
Nguvu ya kuwadhibiti mafisadi bado siioni,yani kila siku afadhali na jana.Matokea yake matabaka ya walionacho na wasionacho yanaendelea kuwa makubwa.Maisha bora kwa kila mtanzania yanazidi kuwa ndoto.Kesi zimepelekwa mahakamani za ufisadi hazieleweki,mwishowe waachiwe na kusema eti ushahidi ulikuwa hautoshi wakati ishagharimu mahela kibao ambayo yangesaidia wagonjwa muhimbili.Sasa hapa nisemeje?Mambo yapo shwari wakti sio kweli?
 
Back
Top Bottom