happy amos
JF-Expert Member
- Feb 23, 2012
- 251
- 434
Huwezi kuwa serious ! Una diploma ya Journalism halafu unaomba angalau kazi ya usafi ? kwa nini usiandike habari na makala na kupeleka kwenye magazeti ambayo yamejaa kama utitiri hapa nchini? Hata wale tunaowaita makanjanja wana akili kuliko wewe!!!
Polen na majukumu
Natafuta kazi ya yoyote hata ya usafi kama itapatikana Arusha . Elim yangu kidato cha nne nina Diploma ya journalism pia nimesoma computer.
Naombeni msaada wa kazi yoyote hata kama mshahara ni laki moja nitafanya maisha magumu.
Jamani naombeni msaada wenu.