Nafasi ya Kazi.: Anatafutwa Mkunga.

Nafasi ya Kazi.: Anatafutwa Mkunga.

Joined
Aug 17, 2016
Posts
73
Reaction score
39
Kuna nafasi ya kazi. Anatafutwa mkunga. Tafadhali tembelea tovuti yetu kwa maelezo zaidi.

MIDWIFE NURSE
Dispensary, Iringa, Tanzania

An opening for a Midwife Nurse specialize in childbirth, postpartum, and well-woman health care of all kinds. He / she must be highly trained professionally, educated and several experience in every stage of labor, as well as having the ability to handle any deviation from a normal progression in any stage of pregnancy.


CVPEOPLE AFRICA TANZANIA NI WAKALA NAMBARI MOJA WA AJIRA AFRICA NZIMA. IKIWA NA UMRI ZAIDI YA MIAKA ISHIRINI. NI WAKATI WAKO SASA KUJISAJILI NASI BURE KUPITIA TOVUTI YETU .NA KUWEZA KUCHAGUA AJIRA UIPENDAYO. CVPEOPLE AFRICA HAITOZI JOBSEEKER GHARAMA YOYOTE. IWAPO UTAPEWA TAARIFA NA MTU YEYOTE AKIDAI ANATOKEA CV PEOPLE AKIWA NA MADAI KUKUHITAJI KUTOA GHARAMA ZOZOTE TOA TAARIFA KUPITIA 0758961961 EPUKA MATAPELI.
 
Mmh ndo mpk akajiunge hiyo sijui nn hiyo ya cvpeople Africa ndo aombe au anaweza omba moja kwa moja?
 
Mmh ndo mpk akajiunge hiyo sijui nn hiyo ya cvpeople Africa ndo aombe au anaweza omba moja kwa moja?
Si kujiunga ni kujisajili tuu ili tupate CV yako. Huko kujisajili ni kuandika taarifa zako, jina kamili, elimu, experience yoyote uliyonayo, mshahara unaoutarajia pamoja na kuambatanisha CV yako. Ni rahisi sana unaingia tu kwenye website ya CVPeople Africa, bonyeza TZ flag kisha bofya register. Ni bure huchajiwi chochote.
 
kwani nyie hamna rank za mishahara kulingana na elimu ya huyo midwife?
na hiyo ipo Iringa tu? au kuna maeneo mengine mtu anaweza kupelekwa?
 
Back
Top Bottom