Nafasi ya "HIPS" kwenye mapenzi

Nafasi ya "HIPS" kwenye mapenzi

Andrew123

JF-Expert Member
Joined
Jun 2, 2012
Posts
8,405
Reaction score
11,196
1. Ndugu zangu naomba kuelimishwa, elimu yangu ndogo Tena ya kuunga-unga kutokana na kure-sit Mara kadhaa bila mafanikio ya kupata Credits za kujiunga elimu ya juu zaidi.

2. Nauliza, nini nafasi ya "HIPS" au hata Trako katika mapenzi? Maana naona matangazo mengi yanataja Sana sehemu hizo za mwili.

3. Bila kuathiri majibu mtakayonipa, binafsi naona Kama imekuzwa kupitiliza.
 
ULISHAAMBIWA DELA BILA CHURA NI SAWA NA KANZU TU,JE CHURA INA KAZI GANI UNAPOVAA DELA?
 
Hilo tangazo nila vyakula au bidhaa za electronic ?
 
Chura ina kazi kuu tatu kwenye mapenzi:

1.Kwa ajili ya kupigwa vile vimakofi vya mahaba🤗🤗🤗

2.Ni sehemu ya kujishika wakati wa ile style pendwa ya doggy style😅😅😅

3.Wakati umepumzika na mpenzi wako kitandani unaweza kuitumia chura kama mto wa kuegemea kichwa
 
Chura ina kazi kuu tatu kwenye mapenzi:

1.Kwa ajili ya kupigwa vile vimakofi vya mahaba🤗🤗🤗

2.Ni sehemu ya kujishika wakati wa ile style pendwa ya doggy style😅😅😅

3.Wakati umepumzika na mpenzi wako kitandani unaweza kuitumia kama mto wa kuegemea kichwa
Asanteee, natumai mtoa mada amepata jibu lake.
Uzi ufungwe sasa
 
Back
Top Bottom