NYENJENKURU
JF-Expert Member
- Feb 11, 2011
- 1,063
- 288
Dr. S.M. Toure | RMO | Arusha Region |
Dr. Hawa Kawawa | Ag.RMO | DSM |
Dr. G. J. B. Mtey | RMO | Dodoma Region |
Dr. Ezekiel Y. Mpuya | RMO | Iringa Region |
Dr. Pius Tubeti | RMO | Kagera |
Dr. Valentino Francis Bangi | RMO | Kigoma Region |
Dr. Mtumwa Simba Mwako | RMO | Kilimanjaro |
Dr. A. S. Mohamed | RMO | Lindi region |
Dr. S. Ulomi- | RMO | Manyara Region |
Dr.S. Machibya- | RMO | Mbeya |
Dr. Frida T. Mokiti | RMO | Morogoro Reg. |
Dr. Ernest Kasoyaga | Ag. RMO | Mtwara Region |
Dr. Meshack M.Z. Massi | RMO | Mwanza Region |
Dr. D. S. Malekelea | RMO | Ruvuma region |
Dr. Costa Chacha Muniko | RMO | Shinyanga Reg. |
Dr. Robert M. Salim | RMO | RAS Singida |
Dr. Leslie .G.Mhina | RMO | Tabora Region |
Dr. Margaret E. Mhando | RMO | Tanga Region |
Wee unapiga ramli,ungetaja wawili 2jue unajua.we kno kuwa atatoka miongoni mwa hao wa mikoa yote.
Nikisema Dr Mtey RMO Dodoma ndiye atakayefaa zaidi mtasema ooooh...waChagga hao, lakini anafaa na nadhani ni moja ya maCandidate strong wa hiyo nafasi. Mwingine ni Dr Mwita RMO Kagera (aliyekuwa Program Manager NMCP akatolewa kwa hila za mama Blandina Nyoni kwenye sakata la mRDT). Halafu hiyo list yako ya zamani...mfano RMO Kagera ni Dr Mwita, RMO Mbeya ni Dr Mhina!
kUNA MMOJA ANAJINA KAMA ZAO AMBALO NI DAWA YA KULEVYA NINAWASIWASI! "BANGI"
Mtey wa Dodoma ni bogus kabisa and forget about him. Umesahau sakata la X-ray na radiology mwaka 2010. Dr Mhina wa Mbeya hajakomaa kwa kuwa juzi tu alikuwa DMO Mpwapwa. Ila Dr Alex Mwita umepatia, jamaa Africa inamjua kwa issue za Malaria na huyu alipigwa vita mbaya sana na Blandina hadi akatupwa Kagera
Mtey ana network na wanaSiasa wengi kama sio wote influencial, ametumia vizuri uwepo wake Dodoma kuwa karibu na system, na ni mjanja sana mChagga yule! Bogus kwa upande upi, management au technical? huo ni mtazamo wako binafsi, by the way...do you need to be smart kuwa CMO? kuwa executive kwenye serikali hii ya JK? Hell no..smartness has never been a criteria.
Mhina sikumtaja kama possible candidate, Mwita nasupport ni very strong candidate, ila hana political networking!
Ndiyo maana unaitwa Chuki, yaani wewe umeona hilo tu!waislam wawili tuu kwenye listi hiyo
hakuna udini Tanzania
Kwa upande wa jinsia yawezekana Mkulu kuteua mama ambaye ni RMO Morogoro Dr.Mokiti...mmmm
Baada ya Mtoto wa mkulima Pinda kumuondoa katika Mganga mkuu wa Serikali Dr.Deo Mtasiwa kunatetesi kuwa majina yafuatayo kuna moja atapewa nafasi hiyo ni:
Dr. S.M. Toure RMO Arusha Region
Dr. Hawa Kawawa
Ag.RMO DSM Dr. G. J. B. Mtey
RMO Dodoma Region Dr. Ezekiel Y. Mpuya
RMO Iringa Region Dr. Pius Tubeti RMO Kagera
Dr. Valentino Francis Bangi RMO Kigoma Region
Dr. Mtumwa Simba Mwako RMO Kilimanjaro
Dr. A. S. Mohamed RMO Lindi region Dr. S. Ulomi- RMO Manyara Region Dr.S. Machibya- RMO Mbeya Dr. Frida T. Mokiti RMO Morogoro Reg. Dr. Ernest Kasoyaga Ag. RMO Mtwara Region Dr. Meshack M.Z. Massi RMO Mwanza Region Dr. D. S. Malekelea RMO Ruvuma region Dr. Costa Chacha Muniko RMO Shinyanga Reg. Dr. Robert M. Salim RMO RAS Singida Dr. Leslie .G.Mhina RMO Tabora Region Dr. Margaret E. Mhando RMO Tanga Region
Je kazi wataiweza hawa?Nawakilisha