Septemba11
JF-Expert Member
- Jan 18, 2013
- 620
- 536
Habari!
Nina rafiki yangu ni askari yupo katika moja ya kambi za mafunzo jeshini, personally ni graduate 2012 japo nimepata pa kujishikiza ila nilikuwa na interest ya kujiunga na TPDF na nlimweleza uyo jamaa yangu ambae jana alinifahamisha kama kuna nafasi zitatoka october kwa graduate na watachukua hadi watu kutoka mitaani km ukiwa na refa mzuri.
So nadhani ni fursa kwetu tena vijana haswa graduates kuichangamkia na alivonambia watapiga pre cadet zanzibar kisha taratibu zingine zitaendelea!

Nafikir nyie hamjamwelewa alichokisema humu
Heb rudien kusoma vzr hyo mambo hapo
Amesema kbsa ukiwa na refa mzur unakwnda sa nyie mwampnga k2 gan wakat mnajua kbsa tz ukiwa na refa evrythng z posble
Huo ndio ujinga pia, utafute refa TPDF, kwa nia ipi? Kazi yenyewe nikupambana na akina makenga kwny misitu ya DRC, Machar S/Sudan na wengine wengi afu utafute refa. Kwahiyo hata ukiamriwa kwenda mstuni utamwambia huyo refa asikupeleke. Huu ni upuuzi unaoizamisha tz. Refa hadi siku Mungu anakuja utataka refa. Siku ukichapwa shaba Darfur uje utuambie huyo refa alivyokufaa. Refa hadi kaburini atakupelekea kitanda. Vyuuuuuuuuuuxxxxx!
Kwanini watoto wa vigogo hawaendi jeshin wanaenda watoto wa familia maskini na familia za kati...? nimeuliza tu