Nafasi pccb link hapa

Wadau embu naomba msaada hapa....jina langu nimeliona,but si ktk category niliyoombea( ya LAW,ila kwenye Human resource management).Nimeulizia mtu wa utumishi kaniambia niibuke tu kwenye interview!....wadau hii siyo kwamba ni kufanana kwa majina au??..mchango wenu wadau?
 
da hawa pccb hawako fair kabisa nina master ya hr af degree ya forencis linguistics lakini nimeangukia pua.sasa sie masikini sijui twende wap? Na walisema postgraduate is an added adv..ila tutaona mwisho wao
 
Duh, kwani upo nje ya dsm?
 
Kama hujachaguliwa usikate tamaa. " If you can't sing, don't pursue the idea of becoming an Opera star. Perhaps you could learn to dance.''
 
Well said.
 
niliambatanisha kila kitu ila sijaitwa ninachokifikiria huenda walifocus course fulani lakini hata hivyo walitakiwa kuwa wazi...
 
Hata mimi nimeona jina langu ila hata category niliyopo siifahamu..ingawa niliomba upande wa computer science.
 
Hata mimi nimeona jina langu ila hata category niliyopo siifahamu..ingawa niliomba upande wa computer science.

Sasa muungwana ndo tunafanyaje hapa...hebu tupeane ushauri hapa.Maana unaweza sema labda ni kufafana kwa majina kumbe ndo ww unaatakiwa??!!
 
BOFYA HAPA UJIONEE MWENYEWE INVITATION FOR APTITUDE TEST

Namshukuru Baba yetu, Mungu Jehova mfalme anayeweza kuwanyanyua walio wanyonge kama mimi. Ni kweli bado safari ni ndefu sana na kuitwa katika usaili huu haina maana nimekwisha ipata nafasi hii, ila naamini Mungu huyu anayewanyeshea mvua wenye haki na wasio haki ataendelea kuwa mtetezi wangu.

Ahsante mfalme na nakuomba uniwezeshe katika mtihani huu mgumu wa 17/01/2014 ulio mbele yangu.
 
Amen,,,
 
Wasio itwa niwale hawakukidhi vigezo either hawakuambanisha vyeti vya la saba au hawaku certify vyeti au walisoma kozi ambazo hazikutajwa pale mf sociology,marketing n.k
 
#Nyati maneno yako nimesoma mpaka nimejisikia machozi yakinilenga.Ahsante kwa hekima zako kwani nami ni mhanga mkubwa sina kazi hapa nilipo maisha magumu nikikuambia nina siku ya nne sina kitu mfukoni hata sh.hamsini huwezi amini.Thats y nlipozisoma hekima zako nimekuwa sympathied
Mungu akubariki ni wachache wamepewa hekima hizo.
 
issue ya kucertify vyeti mbona hawakuisema kwenye vigezo walizoweka?daah ndooo maana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…