Nafasi nne za kazi Lavista hotel Morogoro

Lavista garden hotel morogoro inatangaza nafasi za kazi..
Wahudumu wanne wa kike.


Waitress wawe na idea na kazi,
Ajue kusoma na kuandika,
Awe msafi na tabia njema.

Mawasiliano call 0629232810

Hamna ya vijana wa kiume?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom