Nafasi mwenye mtaji aje tukuze biashara

Nafasi mwenye mtaji aje tukuze biashara

kivangaukali

Member
Joined
Jan 8, 2016
Posts
72
Reaction score
26
Natafuta watu wa kushare biashara ya kuuza gas kwa jumla mm ni superdealer ninauzofefu wa biashara kwa muda wa miaka 7 nauza oryx na mihan
 
Natafuta watu wa kushare biashara ya kuuza gas kwa jumla mm ni superdealer ninauzofefu wa biashara kwa muda wa miaka 7 nauza oryx na mihan
Nini kilikutokea mpaka mpaka ukaacha kuuza na au kupungukiwa mtaji
 
Taja eneo la biashara na kiasi cha mtaji tafadhali
 
Back
Top Bottom