Japo pesa zao anazitaka.kwenye international community tumepotea, kiongozi wetu anaogopa kukaa meza moja na 'mabeberu'
Tanzania inaheshimika sana barani Africa
ungeandika "ilikuwa inaheshimika sana barani Afrika" Kati ya nchi zilizotuzunguka hivi sasa kuanzia Malawi, Msumbiji, Kenya, Zambia, Burundi, DRC, Rwanda, hata visiwa vya Comoro, ni ipi kati ya hizo inayotuheshimu kama zamani?Tanzania inaheshimika sana barani Africa ...
Nimeishi miaka mingi njee na bado niko njee ya nchi. Tunaheshimika sana tena sana.Nani Kakudanganya
Zote isipokuwa kenya na Malawi, waliobakia wote hawataweza isahau Tanzania kwa msaada wake.ungeandika "ilikuwa inaheshimika sana barani Afrika" Kati ya nchi zilizotuzunguka hivi sasa kuanzia Malawi, Msumbiji, Kenya, Zambia, Burundi, DRC, Rwanda, hata visiwa vya Comoro, ni ipi kati ya hizo inayotuheshimu kama zamani?
Umefuatilia mahusiano ya kidplomasia siku za hivi karibuni kati ya Tanzania na majirani zake?Zote isipokuwa kenya na Malawi, waliobakia wote hawataweza isahau Tanzania kwa msaada wake.
Angekuwepo JK, tungechukua nafasi moja wapo.
Mpuuzi wewe,unadhan nje ya nchi unaishi peke yako ?Nimeishi miaka mingi njee na bado niko njee ya nchi. Tunaheshimika sana tena sana.
Ninazungumzia kama nchi na wananchi wake, tofautisha kati ya nchi na unavyofananisha mawazoni mwako.
Tanzania ni mchi nzuri na yenye watu wazuri.