Nafasi kujiunga na jeshi

Nafasi kujiunga na jeshi

Anita Baby

JF-Expert Member
Joined
Oct 2, 2011
Posts
1,265
Reaction score
541
Naomba kujua naaply vipi mafunzo ya jeshi? na aplication wanaanza lini?
 
nenda kwa mkuu wa wilaya uliyopo utapewa maelezo ila unatakiwa uwe mrefu vya kutosha
 
Hata mimi pia ningependa kujiunga lakini mwezi wa pili walipotangaza walitoa age limit mwisho ilikuwa miaka 23 tu nikafeli sijui kama mwaka huu watatangaza tena
 
JW ni lazima upitie JKT, Katangazee!
 
siku hizi kujiunga na jwtz mpaka upitie jkt miaka 2.then ndio huajiriwe jwtz.
 
Hata mimi pia ningependa kujiunga lakini mwezi wa pili walipotangaza walitoa age limit mwisho ilikuwa miaka 23 tu nikafeli sijui kama mwaka huu watatangaza tena

Mwisho n miaka 23 kwa aliye n ngaz ya fm 4 au 6 bt km una advance diploma ht ukiwa n miaka kuzidi 23 unaenda kaz kwako hapo
 
Degree holder tulioomba JKT mwez wa pili kwa kweli tulitolewa nduki pale ilala, daah sitasahau
 
Degree holder tulioomba JKT mwez wa pili kwa kweli tulitolewa nduki pale ilala, daah sitasahau

Mnaona jeshi ndio kimbilio la waliokosa ajira siyo?,itafika kipindi mtatamani hata kuingia mgambo kwa kuhonga.bongo balaa!
 
samahan mkuu kama nimekukwaza,lakini degree utahtaji kukaa ofisin lakini jeshini kukaa mwiko,hvyo wanapenda form 4 coz wanajua timbwiri linawafaa.

Tatizo ni umri wako ndo unakufanya hata utoe kauli kama hii.
 
Back
Top Bottom