Pamoja na kuita DM, kama hutojali weka mawasiliano hapa tunaweza kushare tangazo kwa marafiki, jamaa n.kWanahitajika wadada 3 kwa ajili ya kazi kwenye salon za kiume.
Qualities: wawe smart na presentable. Age ni 20-27.
Salon ziko Musoma, so anybody yuko willing kufanya kazi au anajua mtu yoyote anae weza fanya kazi hit my dm.
Itakuwa ni ile ya kufanya na masaji, hapo wanahitajika wadada mkuuSaloon za kiume unawapa kazi wanawake je zile za kike watafanya nani? Fungua za kike
. Sasa hapo ndo naamini sisi waafrika hatujui tunataka nini Saloon ya kiume anakaa mwanamke? Ya mwanamke anakaa mwanaume? Sawah endeleeni tuHuja wahi kuta salon za kike pia kuna watu wa pedicure wa kiume??!
.😛😛😛 C afungue 2 sehemu moja nzuri kwaajili ya Masaji sasaItakuwa ni ile ya kufanya na masaji, hapo wanahitajika wadada mkuu
hahhahahaahahhaa, dadeki, kitu cha full body masaji.😛😛😛 C afungue 2 sehemu moja nzuri kwaajili ya Masaji sasa
kabisa mkuuhahhahahaahahhaa, dadeki, kitu cha full body masaji