Vijana wa siku hizi kazi kweli kweli! JWTZ kwa mwaka huu hawakua na mpango wa kuajiri vijana wapya ila kutokana na development kadhaa kwenye mambo ya ulinzi wamelazimika kuomba waajiri so subirieni majibu mpaka baraza la mawaziri wakipitisha!
Hakuna cha Mlale wala Mafinga huko ni kwa watu wa JKT wanaojitolea
Mimi sio mwanaJESHI Ila ni mhitimu wa Kunduchi( kabla haijafungwa) na TMA