Salamu wadogo zangu,kaka zangu na wengine woote wana jamii wenzangu.Nimeperuzi katika Vyanzo mbalimbali na kukuta nafasi hizi za Kazi.
NB:
1.Apply Haraka kwakuwa zingine deadline yake iko karibu sana
2.Kuna nafasi 17 za kazi kwa ajili ya wenzetu wa fani ya Uuguzi/Utabibu
Karibuni jamani..
Tarehe kama hizi mwezi Ujao,ntakuja tena na uperuzi wangu kama huu wa leo,Mungu akitujali kufika huko.