C Concrete JF-Expert Member Mar 12, 2011 3,605 549 Oct 19, 2012 #21 BARCA ON said: jeshi la wananchi wao wanatoa lin? Click to expand... Taarifa zilizomo humu JF zinadai wamesitisha kuajiri graduates. Hivyo JWTZ hawataajiri tena graduates bali watasomesha askari wao tu.
BARCA ON said: jeshi la wananchi wao wanatoa lin? Click to expand... Taarifa zilizomo humu JF zinadai wamesitisha kuajiri graduates. Hivyo JWTZ hawataajiri tena graduates bali watasomesha askari wao tu.
Francis Makari Member Jul 16, 2010 23 4 Oct 20, 2012 #22 Ni kweli mafunzo hayajaanza maana sijawasikia wakipita mchakamchaka hapa barabarani, ila leo morning nimesikia kelele nyingi zikitokea huko ccp.
Ni kweli mafunzo hayajaanza maana sijawasikia wakipita mchakamchaka hapa barabarani, ila leo morning nimesikia kelele nyingi zikitokea huko ccp.