BLUE BALAA
JF-Expert Member
- Nov 30, 2010
- 1,222
- 786
Kula papuchi wewe kumsahau hakutokufanya uishi milele maadamu mnapendana siyo mbayaNina mke na watoto wanne umri wangu miaka 48. Naishi na mke wangu wa ndoa kwa miaka 22 sasa ila nilitokea kuwa na mahusiano na dada mwengine mwenye watoto wawili. Tumekaa na huyu dada miaka nane ndugu zake na watoto wanafahamu kuhusu mahusiano yetu kwa kweli tulikuwa tunapendana sana. Yapata mwaka sasa tumeachana da huyu dada na tayari ana mahusiano na mtu mwengine. Najitahidi sana kutokwenda nyumbani kwake wala ofisini kwake, simpigii simu japokuwa yeye huwa ananipigia na kulalamika kwamba simtafuti. Mimi nafanya hizi makusudi ili nimsahau lakini inashindikana kabisa. Huwa rarely tunakutana kwa lunch and drink. Bado wote tunapendana lakini mimi nataka kila njia nimsahau kabisa ila nimeshindwa kabisa.
Nina mke na watoto wanne umri wangu miaka 48. Naishi na mke wangu wa ndoa kwa miaka 22 sasa ila nilitokea kuwa na mahusiano na dada mwengine mwenye watoto wawili. Tumekaa na huyu dada miaka nane ndugu zake na watoto wanafahamu kuhusu mahusiano yetu kwa kweli tulikuwa tunapendana sana. Yapata mwaka sasa tumeachana da huyu dada na tayari ana mahusiano na mtu mwengine. Najitahidi sana kutokwenda nyumbani kwake wala ofisini kwake, simpigii simu japokuwa yeye huwa ananipigia na kulalamika kwamba simtafuti. Mimi nafanya hizi makusudi ili nimsahau lakini inashindikana kabisa. Huwa rarely tunakutana kwa lunch and drink. Bado wote tunapendana lakini mimi nataka kila njia nimsahau kabisa ila nimeshindwa kabisa.
Sababu ya kuachana ilikuwa ni ipi
imebidi nisimame pombe kwani nikipiga nikilewa namkumbuka nampigia simuNgumu sana! Pombe vp lakin haisaidii
Mzee vip,Kampende mkeo huko mnawezaje kumpa mwanamke wa pembeni nguvu kubwa hivo tena mwanamke aSiye hata na uchungu na wewe?hana watoto na ww,hapa ndo tunafeli unamsaliti mke bado tena heshima yske unapeleka kwa mchepuko,umri huo nini kipya?
Kama mnakutana mara kwa mara ni ngumu sana kumsahau, na kama bado unampenda ni ngumu kumsahau. Endelea kupasha kiporo kiongozi.
Kwa nini aliamua kuwa na mwanamme mwingine na hali mnapendana?
Huwa unampa hela nyingi mara kwa mara au ni mapenzi tu motomoto? (nina maana yangu kukuswalisha hivi mkuu)Mimi nina mke wangu na kullikuwa hakuna future yoyote na yeye hivyo anapenda kupata mtu wakuishi nae kwani sheis 40 yrs
Sababu ya kuachana na yeye ni nini?Yeye ndo anapenda tukutane ila mimi namkwepa, tangu tu separate sija sex nae tena kwani naona yuko kwenye serious relationship hivyo naona kumtia ni kama kumzalilisha.
A wapi, kwa umri huo ushaachana na wangapi?uliwezaje?ku fall in love ni kujiendekeza,kwanza hamna kitu km icho niamini mimi huyo umemzoea tu na km ungekuwa unampenda kweli ungeshamuachaga mkewe zamani sana...huwez kuweka Balance kati ya mkeo na mchepuko hlf useme umefall in loveMke nampenda sana and she gets everything pamoja na mapenzi. Ku fall love ni mambo yapo ndugu yangu
Huwa unampa hela nyingi mara kwa mara au ni mapenzi tu motomoto? (nina maana yangu kukuswalisha hivi mkuu)