chamaclotus
JF-Expert Member
- Apr 19, 2019
- 971
- 1,969
So niachane nayo mkuuKama ilipotea zaidi ya miezi mitatu, inabidi ufahamu kwamba ilifungwa then ikawa haina mtu...then ikawekwa wazi ili isajiliwe.
Line yoyote ambayo haifanyi matumizi ndani ya muda fulani hufungwa then huekwa wazi ili watu wengine waweze kuisajili na kuitumia.
Achana nayo mkuuso niachane nayo mkuu
Nadhani ni suala la vigezo na masharti ya mtandao husika.Kwanini wasiwe na utaratibu mtu mwingine asiweze pewa namba iliyosajiliwa hapo zamani?
Namba zinajirudia zilezile mkuu kwa zile zisizotumiksKwanini wasiwe na utaratibu mtu mwingine asiweze pewa namba iliyosajiliwa hapo zamani?
kuna watu wa muhimu nahisi watanitafuta sana kupitia hiyo nambaAchana nayo mkuu
Option iliyopo kama huyo mtu aliyeisajili unamfahamu unaweza muomba aifutie usajili then wewe usajili upya.kuna watu wa muhimu nahisi watanitafuta sana kupitia hiyo namba
Mimi ilinitokea kwa line yangu ya voda kwakuchelewa kwangu kurenew akawa amepewa mtu mwengine. Nilipoenda voda na kugundua ipo hewani walinishauri niongee nakumuomba huyo mtu afute usajiri wake alafu nijisajiri mimi katika hiyo number. Ni uamuzi wake akubali au akatae na wengine huwa wanahitaji fedha ili kufuta usajiri wake. Ila inawezekanaInakuwaje waheshimiwa
Line yangu ya airtel nilipoteza na niko kwenye mpango wa kuchukua loss report ili ni renew ila tatizo ni kuwa kuna mtu anatumia hiyo namba tayari na naona kaisajili kwa jina lake sio langu tena, sijajua wametumia utaratibu gani.
Nafanyaje wakuu?