DeepPond
JF-Expert Member
- Nov 18, 2017
- 43,311
- 109,512
Habari,
Mimi ni mdada nipo maeneo ya Tegeta natoa huduma ya kufanya usafi majumbani, kama unahitaji kufua, kuosha vyombo, kudeki n.k.
Nafanya usafi na kuondoka.
Malipo sio chini ya 10,000 au tukaelewana kutokana na umbali na ukubwa wa kazi
PM kama unahitaji.
Inategemea, Nina mtoto ndo maana nahitaji part timeJe nikihitaji uwe boding [emoji4]
Nina mtoto,Usiku unaweza kufanya kazi... ??? Na kulala huku huku
Najaribu wakati tofauti, Kuna wengne hawakuwa active kwa wakati uleMbona huu uzi uliuleta asubuhi? Au walifuta
Mungu akufanikishe dada Esther AntonyNina mtoto,
Amen [emoji120]Mungu akufanikishe dada Esther Antony
Hapana, sijapanga nakaa kwa ndugu yanguMungu atakusaidia dada ester,,,je huko umepanga?na je ikitokea kazi ambayo itakulazimu kukaa jiran utaweza kuhama uishi jiran na eneo la kazi?
Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
"Aombaye atapewa"Habari,
Mimi ni mdada nipo maeneo ya Tegeta natoa huduma ya kufanya usafi majumbani, kama unahitaji kufua, kuosha vyombo, kudeki n.k.
Nafanya usafi na kuondoka.
Malipo sio chini ya 10,000 au tukaelewana kutokana na umbali na ukubwa wa kazi
PM kama unahitaji.
Amina [emoji120]"Aombaye atapewa"
Mungu akakupe hitaji la Moyo wako.
Ungeenda kucomment tu pale uzi ungeonekana rafikiNajaribu wakati tofauti, Kuna wengne hawakuwa active kwa wakati ule
Sawa, AsanteUngeenda kucomment tu pale uzi ungeonekana rafiki