Nafanya usafi majumbani

Nafanya usafi majumbani

Esther Antony

Member
Joined
Oct 24, 2015
Posts
19
Reaction score
23
Habari,

Mimi ni mdada nipo maeneo ya Tegeta natoa huduma ya kufanya usafi majumbani, kama unahitaji kufua, kuosha vyombo, kudeki n.k.

Nafanya usafi na kuondoka.

Malipo sio chini ya 10,000.

PM kama unahitaji.
 
Kama upo serious hakikisha unakuwa active muda wote.... Pia utafute na wenzako ujiunge na muwe hata 5, maana itakuwa kero kama mtu anakuita Kisha umwambie leo nina oda kwingine.

Weka mawasiliano yako.
Pia usichague nyumba Wala familia za kwenda kutumika! Uwe serious ktk hilo utakuja kunishujuru baadae.
 
ushaurii mzurii.
 
Asante, Ila tupo wawili kwa sasa
 
Wekeni mawasiliano... Sidhani kama kuna haja ya kufuatana DM, mtu anakupigia sim mnaelewana. Mkipatana unaanza safari, na anakutajia na ukubwa wa kazi Tena ikiwezekana ataje kwa msj... Maana KWA sasa pia mambo ya mjini ni mengi... Anaweza akakuita kwa ufuaji kumbe ana lengo la kukutumia kingono... Hilo pia uwe na tahadhali nalo.
 
Asante kwa ushauri, nitaufanyia kazi
 
Habari,

Mimi ni mdada nipo maeneo ya Tegeta natoa huduma ya kufanya usafi majumbani, kama unahitaji kufua, kuosha vyombo, kudeki n.k.

Nafanya usafi na kuondoka.

Malipo sio chini ya 10,000 au tukaelewana kutokana na umbali na ukubwa wa kazi

PM kama unahitaji.
 
Back
Top Bottom