Nafanya packaging ya zabibu

Nafanya packaging ya zabibu

LOTTI masai

Member
Joined
Aug 28, 2014
Posts
40
Reaction score
9
Nafanya packaging ya zabibu fresh kutoka shambani Dodoma kwa mwenye supermarket au mwenye connections na managers we can make bussiness
 
safi sana mkuu idea nzuri hiyo
 
Kama utakua kwenye hiyo biashara mpaka mwakani nitakutafuta na kuwa mteja wa kudumu,
Nafanya packaging ya zabibu fresh kutoka shambani Dodoma kwa mwenye supermarket au mwenye connections na managers we can make bussiness
 
Back
Top Bottom