Hili swali, litajibika vyema iwapo utataja mfano wa hizo kampuni.
1. Utaratibu wa manunuzi/kufanya malipo kwa kiwango kidogo cha fedha mfano chini ya $5,000 ni tofauti na
2. Utaratibu wa manunuzi/kufanya malipo kwa kiwango kikubwa cha fedha mfano $200,000 au zaidi.
Hivyo ongeza maelezo ili kupanua wigo wa kupatiwa jibu stahiki.