Nafanya biashara ya mbao za pines Njombe, na udalali wa miti

Nafanya biashara ya mbao za pines Njombe, na udalali wa miti

deoxy

New Member
Joined
Mar 24, 2025
Posts
1
Reaction score
1
MBAO..

Habari zenu wakuu!! Mi ni dalali na mchanaji wa mbao mkoani NJOMBE,, naomba kutangaza anayehitaji kujumua mizigo wa mbao ama kuanza biashara ya MBAO zilizokaushwa,, aina ya miti ni pines,, anaweza kunicheki kwa namba 0657765168 nipo njombe mjini.. BEI ya shambani.
 
Bora ww umesema ukweli!!
Piga kazi mkuu!!
Mfano bei ya shamba
2*2
4*2


KAZI ni kipimo cha utu.
 
Back
Top Bottom