Mkalukungone Mwamba JF-Expert Member Joined Aug 29, 2022 Posts 3,036 Reaction score 6,907 Sep 16, 2025 #1 Naona machawa wanaendelea kukichufua na kumkingia kifua Rais Samia Lakini nikiitizama hii video ya hawa wafanyabiashara naona walilamba asali kwanza ndio wakapata nguvu ya kuongea yote Your browser is not able to display this video.
Naona machawa wanaendelea kukichufua na kumkingia kifua Rais Samia Lakini nikiitizama hii video ya hawa wafanyabiashara naona walilamba asali kwanza ndio wakapata nguvu ya kuongea yote Your browser is not able to display this video.
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,930 Reaction score 1,252,070 Sep 16, 2025 #2 Chawa
Joselela JF-Expert Member Joined Jan 24, 2017 Posts 6,877 Reaction score 9,757 Sep 16, 2025 #3 min -me said: Kusema hiv sio vizuri Click to expand... Lakini ndio ukweli hatakama unauma.
ndege JOHN JF-Expert Member Joined Aug 5, 2015 Posts 24,889 Reaction score 60,928 Sep 16, 2025 #4 Ndo Nani hapo mjini?
min -me JF-Expert Member Joined Jul 20, 2022 Posts 59,646 Reaction score 172,163 Sep 16, 2025 #5 Joselela said: Lakini ndio ukweli hatakama unauma. Click to expand... Ndio yale yake ya kuacha kujibu hoja na kumparamia binafsi , sasa kwani asipo zaa wewe unapungukiwa kitu gani
Joselela said: Lakini ndio ukweli hatakama unauma. Click to expand... Ndio yale yake ya kuacha kujibu hoja na kumparamia binafsi , sasa kwani asipo zaa wewe unapungukiwa kitu gani
D dos.2020 JF-Expert Member Joined Feb 17, 2009 Posts 14,766 Reaction score 12,494 Sep 16, 2025 #6 Njaa mbaya sana
D dos.2020 JF-Expert Member Joined Feb 17, 2009 Posts 14,766 Reaction score 12,494 Sep 16, 2025 #7 min -me said: Kusema hiv sio vizuri Click to expand... mkuu wengi wa vijana wa chadema hayo ndio maisha yao, wao ni matusi tu. Badala kujibu hoja kisiasa wao hukimbilia personal attack
min -me said: Kusema hiv sio vizuri Click to expand... mkuu wengi wa vijana wa chadema hayo ndio maisha yao, wao ni matusi tu. Badala kujibu hoja kisiasa wao hukimbilia personal attack
The Burning Spear JF-Expert Member Joined Dec 23, 2011 Posts 9,130 Reaction score 22,037 Sep 16, 2025 #8 Mkalukungone Mwamba said: Naona machawa wanaendelea kukichufua na kumkingia kifua Rais Samia Lakini nikiitizama hii video ya hawa wafanyabiashara naona walilamba asali kwanza ndio wakapata nguvu ya kuongea yote View attachment 3473574 Click to expand... Kenge kabisa unaiza mboga.mboga unajitia mjanja watu wanachota madini
Mkalukungone Mwamba said: Naona machawa wanaendelea kukichufua na kumkingia kifua Rais Samia Lakini nikiitizama hii video ya hawa wafanyabiashara naona walilamba asali kwanza ndio wakapata nguvu ya kuongea yote View attachment 3473574 Click to expand... Kenge kabisa unaiza mboga.mboga unajitia mjanja watu wanachota madini
venossah JF-Expert Member Joined Apr 30, 2016 Posts 2,771 Reaction score 4,073 Sep 16, 2025 #9 Mama manunu hana cha kupoteza.
Logikos JF-Expert Member Joined Feb 26, 2014 Posts 17,572 Reaction score 27,406 Sep 16, 2025 #10 Kama yeye ilivyo Haki yake ya Kuachiwa mama Yake na ndivyo ilivyo Haki ya Wengine kusema Nini nini..., Ukizingatia huyo Mama yake analipwa na hawa watu wala hafanyi Hisani... Kama hawezi ku-handle the HEAT basi anaweza kutoka Jikoni....
Kama yeye ilivyo Haki yake ya Kuachiwa mama Yake na ndivyo ilivyo Haki ya Wengine kusema Nini nini..., Ukizingatia huyo Mama yake analipwa na hawa watu wala hafanyi Hisani... Kama hawezi ku-handle the HEAT basi anaweza kutoka Jikoni....
Joselela JF-Expert Member Joined Jan 24, 2017 Posts 6,877 Reaction score 9,757 Sep 17, 2025 #11 min -me said: Ndio yale yake ya kuacha kujibu hoja na kumparamia binafsi , sasa kwani asipo zaa wewe unapungukiwa kitu gani Click to expand... Wakati wa vita kila aina ya silaha hutumika. Lengo ni ushindi haijalishi ni panga au nyengo/mundu n.k imetumika.
min -me said: Ndio yale yake ya kuacha kujibu hoja na kumparamia binafsi , sasa kwani asipo zaa wewe unapungukiwa kitu gani Click to expand... Wakati wa vita kila aina ya silaha hutumika. Lengo ni ushindi haijalishi ni panga au nyengo/mundu n.k imetumika.
MamaSamia2025 JF-Expert Member Joined Mar 29, 2012 Posts 21,082 Reaction score 43,477 Sep 17, 2025 #12 Wema anaupiga mwingi. Mama mitano tena
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 177,487 Reaction score 195,298 Sep 17, 2025 #13 Ngoja tuone... Cc: Mahondaw