Naendelea kuwaambia

wahenga walisema

maskini akipata matrako hulia mbwartaaah,

ni muhimu kula taratibu bila kiburi πŸ’
 
Tumekuelewa Mkuu Mimi kama kijana mtanzania na nearly graduate wa SUA bachelor of veterinary medicine naomba sasa kazi ya chanjo na matibabu Kwa wanyama wako ili nisije vaa sketi [emoji3][emoji854]
Angalau kidogo wewe msomi wa SUA umeelewa somo na hutaki aibu Hapo kwenye taaluma yako umepata soko mapema weka kambi kwenye vijiwe vya bodaboda maana kuna kundi kubwa la viumbe wanaohitaji chanjo ya kichaa cha mbwa, na matibabu ya akili
 
Narudia Tena na Naendelea Kuwaambia Nyie Wanaume wa Miaka 30+ Mnaofeli Maisha na Kukimbilia Bodaboda Ili Mfe, Vaeni Sketi Mkaolewe.
Dah mkuu, hasira zako zinaonekana zimejaa kuliko mafuta katika tanki la bodaboda zenyewe.

Unaweza kuwa upo sawa ila kuna jambo moja muhimu umelisahau; mwanaume hapimwi kwa aina ya kazi anayofanya, bali kwa namna anavyopambana kutafuta halali ya kula. Leo ni bodaboda, kesho ni mfanyabiashara mkubwa, keshokutwa ni mwajiri wa watu.

Kazi halali yoyote inayofanya mkono uende kinywani ina heshima yake.
Halafu usimdharau mwanaume anayevuta pumzi. Maisha yana tabia ya kubadilika haraka kuliko taa za barabarani. Leo unamcheka kwa kupangisha chumba kimoja, kesho unaweza ukawa unamuomba kazi au ushauri. Wengi waliofanikiwa leo walipitia hatua ambazo wewe ungeziita kufeli.

Na kuhusu kupumzika, mwanaume wa kweli hapumziki kwa sababu kazi ni ndogo au kubwa; anapambana kadiri ya uwezo wake. Mapumziko ya mwisho ni siku mtu anapofunga macho kabisa na kufukiwa futi sita. Hivyo badala ya kuwavisha watu sketi kwa maneno, ni bora kuwashauri namna ya kusimama tena, maana kesho ya mtu huijui, na ya kwako pia huijui.
 
Moja ya vitu vinavyosababisha kitambi ni kula haraka haraka
 
Kunywa soda mkuu, nakuja kulipa ,kijana kashiba maharage anaongea nonsense πŸ˜‘ maisha ni fumbo .bodaboda pambaneni inshallah one day yes πŸ™ najitafutia riziki halali mungu awatangulie
 
Mtu anatafutana namna ya kuwa recognised kwenye jamii, mbona kazi mnayo vijana!!
Hakuna cha umaarufu hapa fal we huu ni ukweli kavukavu na dawa ndio kwanza inawaingia Kama na wewe una miaka 30+ na unaolote nenda kavae sketi ukaolewe kuliko kuleta falsafa zako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…