Naendelea kuwaambia

Taratibu braza Nina kisukari!
Hiyo sukari itapanda sana maana huu uzi bado haujaisha na dawa ndio kwanza inawaingia sawa sawia nitaendelea kuwapa ukweli wao kavukavu bila mafuta bila kuchuja maneno
 
Umetumia hii kitu mkuu nn😀😀 tuseme hupandagi boda au 😀😀 usidharau kazi za watu never pambana na zako ,hakuna mtu anaweza ishi milele wacha vijana wajikwamue kimaisha only Allah knows the best #stupid nonsense
 

Attachments

  • 20260603_170840.jpg
    168.4 KB · Views: 9
Tumekuelewa Mkuu Mimi kama kijana mtanzania na nearly graduate wa SUA bachelor of veterinary medicine naomba sasa kazi ya chanjo na matibabu Kwa wanyama wako ili nisije vaa sketi 😀🙃
 
Boda boda sio kazi.unakuta baba jitu zima lina mwili eti na lenyewe limekalia king lion eti li boda boda ,ujinga mtupu!
Umeongea ukweli mtupu mkuu
Baba jitu zima lina mwili mkubwa kama lori lakini akili zake sasa daah Badala ya kufanya mambo ya maana, limekalia King Lion linanuka uvundo wa jasho mchana kutwa. halafu likirudi usiku linaambulia buku tano
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…